Beki mpya wa Simba, Joseph Owino ameshasaini mkataba wa miaka miwili kuichezea tena timu hiyo.
Blog hii ilikuwa ya kwanza kueleza kuhusiana na ujio wake na kwamba ataanguka saini mara moja baada ya kutua.
Tayari Owino amesaini na kukabidhiwa jezi ya Simba mbele ya Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itang’are ‘Mzee Kinesi’.
0 COMMENTS:
Post a Comment