Mchezaji wa Kimataifa wa Mpira wa Kikapu anayecheza ligi ya NBA nchini Marekani Hasheem Thabeet akimpa mazoezi ya kusikia mmoja wa wagonjwa.
Mchezaji wa Kimataifa wa Mpira wa
Kikapu anayecheza ligi ya NBA nchini Marekani Hasheem Thabeet akiwa na
Mwanzilishi wa Starkey ambaye pia ni Daktari bingwa wa magonjwa ya usikivu
William Austin alipotembelea kliniki ya kuhudumia wagonjwa wenye matatizo ya
usikivu hapa nchini iliyoratibiwa na Taasisi ya kusaidia usikivu (Starkey) kwa
kushirikiana na kampuni ya Montage ya Tanzania na Serena Hotel jana jijini Dar
es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment