Pichani: Wakili wa Lady Jaydee, Mabere Marando (kulia) akimueleza jambo wakili wa viongozi wa Clouds Media Group, Willy Lusajo. Katikati ni mume wa Jaydee, Gadna Habash. |
Kesi inayomkabili
mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ a.k.a Anaconda ya
kuwakashifu viongozi wa Clouds Media Group, leo imekwama tena kusikilizwa baada
ya hakimu aliyeshikilia kesi hiyo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Athuman
Nyamlani kupatwa na hudhuru. Kesi hiyo itasikilizwa tena Agosti 6 mwaka huu katika mahakama hiyo.
TEAM ANACONDA
ReplyDelete