ANGALIA SAMATTA NA ULIMWENGU WALIVYOPAMBANA KUWAMALIZA WAARABU WA SETIF Katika mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Setif, TP Mazembe ilishinda kwa mabao 4-1, Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, wote wakafunga. Ulimwengu alifunga mabao mawili na Samatta, moja huku Tresor Mbutu akifunga moja pia.
0 COMMENTS:
Post a Comment