September 29, 2013


Pamoja na kuwa na taarifa za yeye kujiunga na Bayern Munich, Robert Lewandowski amepiga bao mbili na kuiongoza Borussia Dortmund kushinda kwa mabao 5-0 ikiwa ugenini dhidi ya Freiburg.

Katika mechi hiyo ya Bundesliga, Lewandowski alipiga hizo mbili na akapachika mbili kabla ya Jakub Blaszczykowski kumaliza kazi kwa bao la tano.


Nao mabingwa watetezi, Bayern Munich wameendeleza ushindi baada ya kuwafunga Wolfsburg  kwa bao 1-0


Thomas Muller ndiye alifunga bao hilo pekee katika dakika ya 63 na kufanya wafikishe pointi 19 bila ya kufungwa hata mechi moja kama ilivyo kwa wapinzani wao Dortmund.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic