Kiungo
mpya wa Manchester United, Marouane Fellaini amesema sasa ameanza kuzoea
mazingira.
Awali,
Fellaini alilalama kwamba mazingira ya ugeni kuanzia mazoezini na hata sehemu
anayoishi yalimpa mazingira magumu.
Fellaini
ametokea katika mji wa Liverpool ambako ni makao makuu ya klabu ya Everton
iliyomuuza man United kwa pauni milioni 27.
Lakini
sasa, Fellaini anasema ameanza kuzoea mazingira na anaamini atafanya vizuri
zaidi akiwa na kocha wake wa zamani David Moyes.
0 COMMENTS:
Post a Comment