Katika mechi iliyopita, Ngassa akiwa
Simba alibadilishana jezi na Jerry Tegete wa Yanga.
Uamuzi huo ulizua ulizua gumzo lakini
Ngassa akasema ni kitu cha kawaida, ni mambo ya Fair Play.
Je, leo Ngassa atabadilishana jezi na
mchezaji mwingine wa Simba na kuivaa.
Hebu acha tuone.
0 COMMENTS:
Post a Comment