January 26, 2014

MPIRA UMEKWISHA
Dk 85, Simba wanamtoa tena Mwombeki aliyeingia kuchukua nafasi ya anaingia Henry Joseph
Dk 78, Messi anapiga mpira unampita kipa, lakini mabeki Rhino wanaokoa


Dk 76, Ndemla anapiga shuti linagonga mwamba na kutoka nje

Dk 74, anapiga shuti kali lakini linaokolewa na kuwa kona tasa DK 80, Messi anashindwa kufunga na kipa anaokoa.....
 Dk 69, Simba wanapata penalt baada ya beki wa Rhino kushika mpira uliopigwa na Chanongo
Dk 67, Simba wanamtoa Badru na nafasi yake inachukuliwa na Sain Ndemla


dK 65, Simba wanamtoa Tambwe anaingia Mwombeki
Dk 62, Simba wanafunga bao, lakini kabla Tambwe anamsukuma beki wa Rhino, mwamuzi anasema, faulo na kumpa Tambwe kadi ya njano kutokana na kumlalamikia mwamuzi msaidizi.


Dk 54, Simba inapata faulo baada ya Messi kuangushwa nje kidogo ya 18, anakwenda kuipiga Kaze, nje!


Dk 50, Msafiri anapiga shuti kali lakini linatoka sentimeta chache kwenye lango la Simba.
Dk 48, Kiemba anapiga shuti linazaaa kona ya pili kipindi cha pili lakini inakuwa tasa.


Dk 47 Kaze anapiga shuti kali linaookolewa na kuwa kona 
MAPUMZIKO
Dk 43, Simba wanapata kona nyingine, lakini inakuwa tasa pia.


Dk 41, Simba wanashambulizi, Awadhi anapiga shuti linalolewa  na kuzaa kona, inakuwa tasa.
Dk 38, Badru anawatoka mabeki wa Rhino lakini anashindwa kufunga kwa kupiga shuti dhaiiifuuu


Dk 33, mpira unaonekana kuanza kutawaliwa na ubabe, kila upande unajibu mashambulizi na Kocha LOgarusic wa Simba analaumu waamuzi kutokuwa Fair
Dk 29, Salum Kamana anapiga shuti kali linapita juu ya lango la Simba


Dk 24, nusura Awadhi afunge lakini anapiga shuti dhaifu linaokolewa Dk 15, Amissi Tambwe anafunga bao, lakini mwamuzi msaidizi anasema alishika kabla ya kufunga

GOOOOOOOOOOODk 13, Singano Messi anaipatia Simba bao baada ya kufunga kwa ufundi kutokana na mabeki wa Rhino kujichanganya.
Dk 12Hamis Msafiri anapiga shuti kali linalopaa juu ya lango.


Dk 9, Simba wanafanya shambulizi la kwanza linalozaa kona, anaipiga Baba Ubaya lakini haina madhara. Dk 4, Rhino wanazidi kuipa Simba presha, faulo iliyochongwa na Jingo Suleiman inatika kidogo juu ya lango la Simba. Hadi sasa Simba haijafanya shambulizi hata moja


DK 2, Rhino wanaaza vizuri kwa kugongeana mfululzo na kufanikiwa kupata kona mbili mfululizo lakini zinakuwa tasa.


KIKOSI
SIMBA
Ivo, Ramashani Shamte, Ismail 'Baba Ubaya', Donald Musoti, Gilbert Kaze, Awadhi Juma,Haruna Chanongo, Amri Kiemba, Ali Badru, Amissi Tambwe na Rama Singano.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic