Kocha Mkuu
wa Simba, Zdravko Logarusic amesema beki wake, Joseph Owino hataanza kwenye
kikosi cha leo.
Logarusic
amesema Owino alionyesha utovu wa nidhamu kwa kuondoka mazoezini na siku
iliyofuata hakurudi.
“Sitampa
nafasi katika mechi ya leo, kama atarudi siku nyingine atazungumza. Musoti na
Gilbert (KAze) ndiyo wataanza leo,” alisema.
Simba
inaivaa Rhino ya Tabora kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, leo
0 COMMENTS:
Post a Comment