Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud amelazimika kuomba
mkewe Jennifer na kocha wake, Arsene
Wenger kutokana na kitendo chake cha kulala na mwanamitindo.
![]() |
| PICHA ILIYOZUA KIZAAZAA |
Pamoja na kwamba awali alikanusha kwamba mwanamitindo Calia
Key alikuwa chumbani kwake saa moja kabla ya Arsenal kuivaa Crystal Palace,
lakini baadaye amelazimika kuomba radhi.
![]() |
| AKIWA NA MKEWE JENNIFER |
Kupitia Twitter, Giroud amesisitiza kuwa anawaomba radhi
mkewe, Wenger, wachezaji wenzake pamoja na mashabiki wa Arsenal.
![]() |
| UJUMBE ALIOWEKA TWITTER AKIOMBA RADHI |
Tukio hilo lilitokea Februari 2 na mrembo huyo alijipiga
picha akiwa chumbani mwa Giroud na baadaye gazeti maarufu la udaku duniani la
The Sun likaichapisha picha hiyo.













0 COMMENTS:
Post a Comment