February 9, 2014






MPIRA UMEKWISHAAA
Dk 4 za nyongeza
Dk 81, Uhuru anapiga shuti kubwa juu ya lango


Dk 72, Owino anapiga kichwa lakini kipaa juu ya lango
 Dk  65, Messi anapiga mpira wa adhabu na kupaisha, Logarusic anacharuka, akimlaumu Kiemba kwa nini hakupiga yeye


Dk 62, Uhuru anaingia kuchukua nafasi ya Awadhi
Dk 57, Simba wanafanya shambulizi kali lakini wanashindwa kumalizia krosi safi ya Shamte
Dk 46, Simba wanamtoa Badru na nafasi yake inachukuliwa na Chanongo


MAPUMZIKO
Dk 45, akiwa nje ya 18, Mwalyanzi anapiga shuti kali lakini Ivo anaonyesha ufundi na kudaka


Dk 44, Badru anamtoka beki wa Mgambo lakini shuti lake linapaa juu
Dk 42, Mgambo wanapiga gonga safi, lakini Shaibu napiga shuti linalopaa juu ya lango la Simba



GOOOOOOOOOOOO Dk 28, Peter Mwalyanza anapiga faulo kali, Ivo anaipangua na inamkuta Fully Maganga anaukwamisha mpira wavuni.





Dk 10, Tambwe anaangushwa na beki wa Mgambo, kocha wake, Logarusic anamcharukia mwamuzi Martin Saanya ambaye aliwahi kufungiwa baada ya kuchezesha mechi kati ya Yanga na Coastal


Dk 5, Mgambo wanafanya shambulizi lakini Full Maganga anashindwa kuwa makini


Dk 7, Bolly Shaibu anapiga shuti linapita juu ya lango la Simba
Dk 8, hadi sasa Simba hawajagusa lango la Mgambo hata mara moja.


Kikosi Simba
Ivo, Shamte, Issa Rashid, Owino, Musoti, Jonas Mkude, Amri Kiemba, Awadhi Juma, Ramadhani Singano ‘Messi’, Amissi Tambwe na Ali Badru.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic