MPIRA UMEKWISHA
GOOOO Dk 80, Kavumbagu anaifungia Yanga bao la tatu baada ya Kiiza kumtoka beki na kumpa krosi safi ya chini
Dk 75 Yanga wanamtoa Yondani, nafasi yake inachukuliwa na Rajab Zahir
Dk 69, Yanga wanamtoa Msuva anaingia Hassan Dilunga
Dk 68 Msuva yeye na kipa anakosa...
GOOOOO Dk 67 Ngassa anafunga bao la tatu kwake katika mechi ya leo na la sita kwla Yanga baada ya kuuwahi mpira wa kichwa uliopigwa na Msuva na kipa akaukoa.
GOOOOOO Dk 64, Ngassa anawatoka mabeki wa Komorozine wanamkimbiza ka' mwizi lakini anafanikiwa kufunga
Dk 61 Mohammes Elfeda anapiga shuti kali lakini kuubwa juu ya lango la Yanga
GOOOOOOOO Dk 59 Kiiza anafunga bao la nne baada ya kupokea pasi ya chini ya Kavumbagu
GOOOOOO Dk ya 58 KAvumbagu anaifungia Yanga bao la tatu baada ya kuiwahi krosi, akaweka kifuani na kumaliza kazi
Dk 56, Msuva naye akiwa katika nafasi nzuri anashinwa kufunga
Dk 54, Kavumbagu anashindwa kufunga krosi safi ya kichwa
Dk 46 Yanga wanamtoa Luhende na nafasi yake inachukuliwa na Kavumbagu
HALFTIME

Dk 40, Kiiza yeye na lango tu lakini anashindwa kufunga
Dk ya 34, Komorozine wanapata faulo, inachongwa na Abdou Kou lakini Kaseja anaokoa
Dk 32, kwa mara ya kwanza Komorozine wanafika langoni mwa Yanga lakini mpira unatoka na kuwa kona
Dk 25, Domayo anagongeana vizuri na Ngassa na Niyonzoma lakini mabeki wanamuwahi kabla ya kupiga
GOOOOOO Dk 20, mpira wa adhabu uliopigwa na Luhende unamfikia Cannavaro anafunga kwa kichwa.
Dk 16, krosi ya Luhende inamfikia Msuva lakini anashindwa kufunga.
GOOOOOOOOOOO..Dk 13 Ngassa anaifungia Yanga bao kwa kichwa baada ya krosi nzuri na safi ya Twite
Dk 9 Kipa wa Komorozine anaokoa shuti kali la Niyonzima

Dk 7, Kiiza anapiga kisigino lakini
mabeki wanashtuka na kuokoa
Dk 5 krosi nzuri ya Msuva anapiga shuti
tena linaokolewa
DK 2, Ngassa anapiga shuti baada ya
kupokea krosi safi ya Msuva lakini Wacomoro wanaokoa.
KIKOSI YANGA:
Kaseja, Twitte, Oscar Joshua, Cannavaro,
Joshua, Domayo, Msuva, Niyonzima, Kiiza, Ngassa & Luhende.
0 COMMENTS:
Post a Comment