February 24, 2020

5 COMMENTS:

  1. Ligi Kuu ya Tanzania imepoteza mvuto kutokana na madudu mengi yanayoigubika....mara waamuzi mara adhabu za Bodi ya Ligi au Kamati ya masaa 72 mara ambulance hakuna mara vipepsi/ viwiko mara wachezaji kukanyagwa mara kungfu mara kugomea kuingia kwenye vyumba mara harufu kwenye vyumba mara magoli ya offside, mara ratiba mara tunaomba radhi kuisahau Yanga kwenye ratiba......MAMBO YA OVYO OVYO TU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga toeni sapoti kwa timu yenu acheni visingizio.

      Delete
  2. Povu. Tafuteni visingizio. Mpira umechezwa nä unachezwa.Afadhali sasa kuna miaka Ndanda walicheza nä Yanga mechi zote Daressalaam nä hatusikia kelele. Timu mojawapo ilicheza nä mchezaji mwenye kadi 3 za njano hatusikia makelele.Hamna kubebwa chezeni mpira.

    ReplyDelete
  3. Huu mchezo hautakagi hasira ni rahisi tu, kila mtu ashinde mechi zake baas.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic