Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya
Mtibwa Sugar mjini Morogoro, jana, Simba imeanza safari ya kwenda Tanga.
Simba imeanza safari hiyo leo kwenda
kuwavaa Mgambo Shooting ambayo wana hamu ya kulipa kisasi.
Katika mzungumzo wa kwanza wa Ligi Kuu
Bara, Simba iliichapa Mgambo Shooting 6-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Sasa ni wakati wa wanajeshi hao kulipa
kisasi wakiwa kwenye uwanja wa nyumbani wa Mkwawani, Jumapili.
0 COMMENTS:
Post a Comment