Shabiki mbaguzi
ameonyesha ishara ya kibaguzi kwa beki wa Real Madrid, Marcelo.
Ishara hiyo
ya kibaguzi amefanyiwa Marcelo raia wa Brazil wakati timu hiyo ilipokuwa inapambana na
Atletico Madrid kwenye Kombe la Mfalme, jana.
Tayari Shirikisho
la Soka la Hispania limeanza kulishughulikia suala hilo.
0 COMMENTS:
Post a Comment