Azam FC
imeishindilia Coastal Union ya Tanga kwa mabao 4-0.
Mabao ya
Azam FC yamefungwa na Kipre Herman Tchetche ambaye sasa amefikisha mabao 13.
Mabao
mengine mawili ya Azam FC wakiwa kwao yalifungwa na John Bocco na baadaye
Kelvin Friday akaandika abao la nne.
Azam
imefikisha pointi 43 na kuzidi kujikita kileleni mwa Ligi Kuu Bara.
0 COMMENTS:
Post a Comment