Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga
wameanza mechi yao ya kwanza ya kiporo kwa sare.
Sare hiyo wameipata leo kwenye Uwanja
wa Jamhuri mjini Morogoro dhidi ya wenyeji wake Mtibwa Sugar.
Pamoja na mechi hiyo kuwa na ushindani
mkubwa, lakini hakuna timu iliyofanikiwa kuonja nyavu za mwenzake.
Yanga walipoteza nafasi tano katika
kipindi cha kwanza na cha pili, hali kadhalika Mtibwa Sugar ambayo kama
washambuliaji wake wangetumia nafasi, ingekuwa msala kwa Yanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment