Chelsea imefanikiwa kuifunga Galataray ya Uturuki kwa mabao
2-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye UWanja wa Stamford Bridge
London.
Mabao ya Chelsea yalifungwa na Samuel Eto’o na beki Garry
Cahill na kuipa Chelsea ushindi wa jumla ya mabao 3-1 baada ya kutoka sare ya
bao 1-1 jijini Istambul katika mechi ya kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment