Mabao mawili ya Cristiano Ronaldo na moja la Morata limeipa
Real Madrid ushindi mwingine dhidi ya Schalke 04, safari hii ikishinda bao 3-1.
Katika mechi hiyo ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Madrid
ilishinda kwa mabao 6-1, maana yake imesonga kwa ushindi mnono wa mabao 9-2
dhidi ya Wajerumani hao.
Katika mechi hiyo ilionekana Wajerumani hao hawakuwa na jeuri
ya kuitikisa Madrid baada ya kuwa imeonyesha jeuri ya kuwafunga mabao mengi
katika mechi ya kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment