March 24, 2014


Lionel Messi amefunga Hat trick na kuisaidia Barcelona kuifunga Real Madrid kwa mabao 4-3 katika mechi ya La Liga iliyomalizika punde kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid.

Bao moja la Barcelona lilifungwa na Iniesta katika dakika ya saba na Messi akafunga hayo matatu, mawili yakiwa ya mikwaju ya penalty huku beki Sergio Ramos akilambwa kadi nyekundu kwa kumuangusha Neymar.
Mabao matatu ya Madrid yalifungwa na Cristiano Ronaldo kwa mkwaju wa penalty na Karim Benzema akapachika mawili.
Mechi hiyo ilikuwa kali nay a kuvutia huku timu hizo zikifungana kwa zamu ingawa Madrid ndiyo ilionekana kuwa na nafasi zaidi.
Lakini mambo yalibadilika zaidi baada ya mkwaju wa penalty na kutolewa kwa Ramos na Barcelona ‘wakachukua nchini
 Na kufanikiwa kuibuka na ushindi.
Madrid wamebaki na pointi 70 sawa na Atltetico Madrid huku Barcelona wakifikisha 69 na kujisogeza vizuri kwenye mbio za ubingwa wa La Liga.


Real Madrid: Diego Lopez, 7, Pepe, 6, Ramos, 6, Cristiano Ronaldo, 7, Benzema, 8, (Varane, 64), Bale, 7, Marcelo, 7, Xabi Alonso, 7, Carvajal, 6, Modric, 7, (Morata, 90), Di Maria, 9, (Isco, 85). 
Subs not used: Casillas, Coentrao, Nacho, Illarramendi.
Scorers: Benzema, 20, 24, Ronaldo, 55 (pen).
Booked: Pepe, Di Maria, Alonso, Modric, Ronaldo.
Sent off: Ramos.
Barcelona: Valdés, 6, Alves, 6, Piqué, 8, Mascherano, 5, Jordi Alba, 6, Busquets, 7, Xavi, 7, Iniesta, 7, Fabregas, 8, (Sanchez, 78), Messi, 10, Neymar, 7, (Pedro, 69).
Subs not used: Pinto, Bartra, Adriano Song, Sergi.
Booked: Fabregas, Busquets.
Scorers: Iniesta, 7, Messi, 42, 65 (pen), 84 (pen).
Attendance: 85,454.
Referee: Alberto Undiano Mallenco.
Man-of-the-Match: Lionel Messi










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic