Louis Van
Gaal ndiye anapewa nafasi kubwa zaidi ya kuchukua nafasi ya Kocha David ‘Daudi’
Moyes wa Man United.
Van Gaal anaelezwa
kuwa na urafiki wa karibu zaidi na mshambuliaji Robin van Persie aliyewahi
kumfundisha kwenye timu ya taifa ya Uholanzi.
Moyes amekuwa
katika wakati mgumu katika hatua za mwisho za Premiership baada ya kupoteza
mechi 11 za ligi hiyo.
Tokea ametua
Man United akitokea Everton, mambo yanaonekana kumuendea vibaya na taarifa
zinasema viongozi wa Man United wameonyesha kuchoshwa naye.
MAKOMBE YA VAN GAAL
Klabu
alizofundisha
Ajax, Barcelona, AZ Alkmaar, Bayern Munich
Ajax, Barcelona, AZ Alkmaar, Bayern Munich
Timu
ya taifa aliyofundisha
Uholanzi
Makombe
akiwa na klabu
Ubingwa
wa ligi
7
Ligi ya Mabingwa 1
Kombe la UEFA 1
Makombe ya kawaida 7
makombe mengine Ulaya 3
Ligi ya Mabingwa 1
Kombe la UEFA 1
Makombe ya kawaida 7
makombe mengine Ulaya 3
0 COMMENTS:
Post a Comment