ANGALIA NAMNA BONDIA FRANCIS MIYEYUSHO ALIVYOANGUKA BAADA YA KONDE KALI LA MTHAI MIYEYUSHO AKIENDA CHINI BAADA YA KUPIGWA KONDE NA BONDIA WA THAILAND. HAPA ALIANGUKA NA HAKUWEZA KUINUKA NA NDIYO ULIKUWA MWISHO WA PAMBANO HILO LILILOCHEZWA PTA MWISHONI MA WIKI ILIYOPITA
0 COMMENTS:
Post a Comment