Iwapo Manchester United itafikia uamuzi
wa kumfuta kazi Kocha David Moyes ‘Daudi’, makocha wanaopewa kuchukua nafasi
yake ni wawili.
Kutoka Borussia Dortmund, Jurgen Klopp
ambaye anapewa nafasi kubwa zaidi kutokana na mafanikio yake na klabu hiyo.
Pia Mholanzi, Louis Van Gaal ambaye hivi
karibuni alikuwa anahusishwa kujiunga na vigogo wa Hispania, Barcelona kwa kuwa
kocha wao, Gerardo Martino ‘Tata’, kiana amekuwa anapepesa.
0 COMMENTS:
Post a Comment