Uongozi wa Man United unaonekana
kupoteza uvumilivu kwa kocha wake, David Moyes.
Taarifa zinaeleza huenda akaondolewa
usiku huu au kesho asubuhi kama walimiliki wa klabu hiyo watakubaliana.
Moyes aliyependekezwa na Kocha wa zamani
wa Man United, Alex Ferguson, huenda akang’oka kwa kuwa amefanya vibaya sana.
Amepoteza mechi 11 za Premiership,
kafeli kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, pia amekuwa akinyanyaswa na watani wao
Man City, hali inayoonyesha hauwezi msigo huo.
0 COMMENTS:
Post a Comment