Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristian
Ronaldo ameweka rekodi ya kufunga mabao 16 katika msimu
mmoja wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Ronaldo amefikisha mabao baada ya
kufunga bao la tatu kabla ya mapumziko katika mechi ya pili ya nusu fainali
dhidi ya Bayern Munich.
Ronaldo alifunga bao hilo baada ya kazi
nzuri ya Karim Benzema na Gareth Bale ambaye hakuwa mchoyo.
Lakini baadaye dakika ya 89, Ronaldo akafunga bao la nne katika mechi hiyo baada ya yeye mwenyewe kuangushwa.
Lakini baadaye dakika ya 89, Ronaldo akafunga bao la nne katika mechi hiyo baada ya yeye mwenyewe kuangushwa.
Mwingine aliyekuwa na mabao mengi zaidi
alikuwa ni Lionel Messi aliyekuwa amewahi kufunga 14.
MSIMAMO WA WAFUNGAJI BORA MSIMU HUU (2013-14)
# | Mchezaji | Nchi yake | Timu | Mabao(PenaltI) | |
---|---|---|---|---|---|
1. | Cristiano Ronaldo | Portugal | Real Madrid | 16 (1) | |
2. | Zlatan Ibrahimović | Sweden | Paris Saint-Germain | 10 (1) | |
3. | Lionel Messi | Argentina | FC Barcelona | 8 (2) | |
4. | Diego Costa | Spain | Atlético Madrid | 7 (0) | |
5. | Kun Agüero | Argentina | Manchester City | 6 (2) | |
Robert Lewandowski | Poland | Borussia Dortmund | 6 (1) | ||
7. | Álvaro Negredo | Spain | Manchester City | 5 (0) | |
Gareth Bale | Wales | Real Madrid | 5 (0) |
MSIMAMO WA WAFUNGAJI BORA MSIMU ULIOPITA (2012-13)
# | Mchezaji | Nchi | Timu | Mabao (Penalti) | |
---|---|---|---|---|---|
1. | Cristiano Ronaldo | Portugal | Real Madrid | 12 (0) | |
2. | Robert Lewandowski | Poland | Borussia Dortmund | 10 (1) | |
3. | Lionel Messi | Argentina | FC Barcelona | 8 (0) | |
Thomas Müller | Germany | Bayern München | 8 (1) | ||
Burak Yılmaz | Turkey | Galatasaray | 8 (0) | ||
6. | Alan | Brazil | Sporting Braga | 5 (1) | |
Karim Benzema | France | Real Madrid | 5 (0) | ||
Jonas | Brazil | Valencia CF | 5 (1) | ||
Ezequiel Lavezzi | Argentina | Paris Saint-Germain | 5 (0) | ||
Oscar | Brazil | Chelsea FC | 5 (0) |
WALIOFUNGA MABAO MENGI ZADI TOKEA MWAKA 1955
0 COMMENTS:
Post a Comment