April 29, 2014


Kiungo nyota wa Real Madrid, Xabi Alonso hatacheza mechi ya fainali ambayo itakuwa kati ya timu yake dhidi ya Chelsea au Atletico Madrid.

Alonso anaukosa mchezo huo wa fainali mjini Lisbon Ureno baada ya kupewa kadi ya pili ya njano katika mechi inayoendelea kati ya Real Madrid dhidi ya wenyeji wao Bayern Munich.
Kiungo huyo mkabaji amewahi kushinda Kombe la Ligi ya Mabingwa akiwa na Liverpool, sasa anaikosa fainali.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic