Mechi kati ta Ruvu Shooting dhidi ya Azam FC iliyokuwa imeahirishwa sasa itapigwa kesho kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi.
Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara iliahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyoendana na upepo mkali.
Bodi ya Ligi imethibitisha kuwa sasa mechi hiyo iliyokuwa ipigwe leo, itachezwa kesho.
0 COMMENTS:
Post a Comment