Mechi ya Azam FC dhidi ya Ruvu Shooting iliyokuwa
ilikuwa ichezwe leo kwenye Uwanja wa Mabatini mjini Mlandizi, imeahirishwa.
Mechi hiyo imeahirishwa kutokana na mvua
kubwa iliyonyesha katika eneo hilo.
Taarifa kutoka Kamati ya Ligi zinaeleza
kuwa mvua kubwa na upepo zimesababishwa kuahirishwa kwa mechi hiyo.
Bado haijaelezwa kama itachezwa kesho au
itapangiwa siku nyingine.
0 COMMENTS:
Post a Comment