Jamhuri Kihwelo amechukua fomu za kuwania umakamu wa urais.
Julio amesema pamoja na kutaka kuisaidia Simba, lakini ameona ni bora
kuchukua nafasi hiyo kwa kuwa kuna watu wanapata uongozi Simba kama ilivyokuwa
kwa Ibrahim Masoud ‘Maestro.
“Hadi mtu kama Maestro anapata nafasi Simba, inakuwaje Julio asipate.
“Ninajua nina uwezo na nitaisaidia Simba, hivyo ninagombea,” alisema
Julio.
Julio alionekana ni mwenye furaha na baadaye alirudisha rafiki yake huku
yeye akiwa amechimbia kusikojulikana.
0 COMMENTS:
Post a Comment