May 12, 2014



Katibu Mkuu wa zamani wa TFF, Michael Wambura amechukua
fomu za kugombea uongozi Simba.
Wambura amechukua fomu hizo akisindikizwa na wapambe kadhaa kama ilivyokuwa jana kwa Evans Aveva.
Hata hivyo, idadi ya watu iliyomsindikiza Wambura imeshindwa kuvunja rekodi ya Aveva, jana.
Wambura alionekana kujiamini na kusema anataka kufanya mabadiliko katika timu.
Pia akasema anataka kuondoa utegemezi na klabu ijiongeze yenyewe.
Wambura amewahi kuwa mwenyekiti wa muda wa klabu hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic