May 12, 2014


KATIBU MKUU WA YANGA, BENO NJOVU (KULIA)NA MSEMAJI WA KLABU HIYO, BARAKA KIZUGUTO WAKIMSHUHUDIA TWITE AKISAINI MKATABA HUO, LEO.

Uongozi wa Yanga umemaliza zile kelele kuhusiana na beki wake mkongwe Mbuyu Twite ambaye amesaini mwaka mmoja.

Twite amesaini leo mkataba mwingine wa mwaka mmoja kuitumikia Yanga huku kukiwa na taarifa kwamba anatarajiwa kujiunga na Azam FC.
Taarifa hizo zilizagaa mara baada ya Azam FC kuwanasa Frank Domayo na Didier Kavumbagu.
Lakini kuanguka mwaka mmoja Yanga, kumemaliza maneno mengi na sasa uhakika msimu ujao atabaki Jangwani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic