KIUNGO NYOTA WA LIVERPOOL, STEVEN GERRARD AMETANGAZA KUSTAAFU KUICHEZEA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND BAADA YA KUCHEZA MECHI 113. MICHUANO YA MWISHO YA GERRARD IMEKUWA NI ILE YA KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL AMBAYO ENGLAND ILITOLEWA MAPEMAA, KATIKA HATUA ZA MAKUNDI.
0 COMMENTS:
Post a Comment