KWIZERA (KATIKATI) BAADA YA KUTUA UWANJA WA TAIFA, KUSHOTO NI MEDDY NA KULIA NI IDDI KAJUNA. |
Kiungo
nyota wa timu ya taifa ya Burundi, Pierre Kwizera ametua nchini tayari kuanza
kazi na Simba.
Kwizera
ambaye anakipiga timu ya Afad Abidjan inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ivory Coast,
tayari yuko Dar.
Alitua
nchini na kupokelewa na kiongozi wa Simba aitwaye Meddy na Iddi Kajuna.
Mrundi huyo rasmi ataanza rasmi mazoezi Jumatatu.
Mrundi huyo rasmi ataanza rasmi mazoezi Jumatatu.
Simba
iliamua kumchukua kiungo huyo badala ya Jerry Santo raia wa Kenya ambaye
ilifanya naye mazungumzo kwa asilimia 90.
Pamoja na
sifa ya pasi za uhakika na ukabaji, Kwizera anasifika kwa kupiga mashuti makali
nje ya 18.
0 COMMENTS:
Post a Comment