Fernando Torres amekubali kutua AC Milan kwa mkopo ambako atacheza misimu miwili.
Nyota huyo wa Chelsea aliyekuwa anashikilia rekodi ya usajili ya pauni milioni 50 akitokea Liverpool kutua Chelsea ametua mjini Milan Italia leo.
Torres ambaye rekodi yake imevunjwa na Di Maria aliyejiunga na Man United, amepokewa na mashabiki mjini Milan akiwa tayari kuanza kazi.
FERNANDO TORRES KWA NAMBA:

ATLETICO
MADRID (2001-07)
Mechi:
244
Mabao:
91
Wastani
kwa mabao: 2.7 matches
Liverpool
(2007-11)
Mechi:
142
Mabao:
81
Wastani
kwa mabao: mechi 1.8
Gharama
kwa bao (alisajiliwa kwa £24m): £296,000
CHELSEA
(2011-14)
Mechi:
172
Mabao:
45
Wastani
kwa mabao: mechi 3.8
Gharama
kwa bao (alisajiliwa kwa £50m): £1.1m
HISPANIA
(2003-)
Mechi:
110
Mabao:
38
Wastani
kwa mabao: mechi 2.9
0 COMMENTS:
Post a Comment