LIVERPOOL YAKUBALI KUTOA PAUNI MILIONI 16 KUMTWAA BALOTELLI Liverpool imekubali kutoa dau pa launi milioni 16 ili kumnasa mshambuliaji Mario balotelli kutoka AC Milan ya Italia. Kocha Brendan Rodgers wa Liverpool amekubali mtukutu huyo atue Anfield ili kuongeza nguvu ya ushambuliaji. Balotelli aliwahi kuichezea Manchester Cuty kwa mafanikio makubwa lakini alikuwa haishi vituko.
0 COMMENTS:
Post a Comment