AVEVA NA DALALI, LEO KWENYE UWANJA WA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM. |
Wawili hao walinaswa leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar.
Baada ya muda, Aveva na Dalali walipanda ndege na kwenda Mtwara kwa ajili ya Ndanda Day na keshokutwa mechi itapigwa kesho.
Tayari baadhi ya wachezaji wa Simba wameishawasili Mtwara kwajili ya mechi hiyo.
Kikosi kikubwa cha Simba kilibaki jijini Dar kwa ajili ya mechi dhidi ya URA ya Uganda na matokeo ya mwisho, kimelala kwa bao 1-0.
0 COMMENTS:
Post a Comment