Mara baada ya mechi ya
watani dhidi ya Everton. Mshambuliaji nyota wa Liverpool, Mario Balotelli
aliamua kuingia mitaani.
Alionekana katika jiji la
Liverpool akiwa na simu tatu katika mikono yake miwili, utafikiri Papaa.
Mastaa wengi wa nje
wamekuwa wakitumia simu moja tu tofauti na Bongo.
Lakini Balotelli aliokuwa
tofauti na mambo yake kumbe ni kama Bongo tu.
0 COMMENTS:
Post a Comment