Hatimaye mwanariadha mlemavu, Oscar Pistorius amepatikana
na hatia ya kuua bila ya kukusudia.
Jana mahakama ya Pretoria ilimfutia mashitaka ya
kuua kwa kukusudia.
Kesi yake iliyoendeshwa tokea mwanzoni mwa mwaka
huu ni ile inayomkabili kwa madai ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Lakini hukumu ya leo imemkamata na Jaji Thokozile
Masipa amesoma huku hiyo na kumpata na hatia.
Kwamba aliua bila ya kukusudia na kinachosubiriwa
ni suala la hukumu itakua ni kipindi kipi gerezani.
0 COMMENTS:
Post a Comment