Mchezaji mmoja wa Deportivo Italianoya Argentina alijikuta kwenye
wakati mgumu sana baada ya mashabiki kuvamia katikati ya mechi, wakamvua nguo
na kuondoka zake.
Huku akiwa hana la kufanya, kiungo huyo Elias Di Biasi wa Deportivo
Italiano alivuliwa buta na baadaye jezi, halafu mashabiki hao wakorofi
wakaondoka zao uwanjani hapo.
Mashabiki hao watatu mara baada ya kumvua waliondoka taratibu na
kwenda upande wa mashabiki wengine wakorofi ambao isingekuwa lahisi kuwavaa
badala yake ingesababisha vurugu kubwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment