September 11, 2014

 Beki wa zamani wa Man City, Micah Richars hatimaye ameanza maisha mapya nchini Italia akiwa na klabu yake mpya ya Fiorentina.

Richards ameonyesha furaha yake ya kuanza maisha mapya huku akisisitiza aliamini alistahili kupata nafasi zaidi ya kuichezea Man City na kusisitiza ana hofu kubwa na vijana wanaochipukia kama hakutakuwa na utaratibu mzuri wa kuwapa nafasi.
Pia ameeleza kocha wake wa zamani, Robetro Mancini alivyokuwa hataki wavae jezi za rangi ya zambarau kwa madai zinaongeza bahati mbaya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic