MUNGU NI MKUBWA, ANGALIA STRAIKA ALIVYONUSURIKA KIFO KWENYE AJALI HII Mshambuliaji Franco Jara ameunusurika kifo baada ya gari lake aina ya Mustang kugonga mti na kuharibika vibaya. Hara raia wa Argentina anayekipiga katika kikosi cha Benfica ya Ureno alikuwa njiani kwenda Lisbon. Lakini akashindwa kulidhibiti gari lake ambalo lilipoteza uelekeo na kwenda kugonga mti. Maajabu ya Mwenyezi Mungu, jara alitoka kwenye akiwa hachachubuka hata kidogo. JARA KAZINI.
0 COMMENTS:
Post a Comment