September 20, 2014

Pamoja na kwamba mauzo ya jezi za Jaja na Coutinho ndiyo siku yake leo kwa kuwa Yanga inacheza na Mtibwa Sugar mjini Morogoro, lakini jezi za mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi nazo zinanunuliwa tu.

Jezi za Okwi nazo zimekuwa zikiuzwa sambamba na zile za Wabrazili hao na zinanunuliwa kwa wingi pia.
Lakini baadhi ya mashabiki wa Yanga wamekuwa wakikasirishwa kuziona jezi hizo za Okwi wakidai zinawachefua na leo si wakati wake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic