KIPA DIDA AKIMRUKIA CANNAVARO MNGONGONI... |
NAHODHA WA YANGA, NADIR HAROUB CANNAVARO AMEONYESHA YUKO FITI.
CANNAVARO AMEONYESHA ANAWEZA KUCHEZA MECHI YA KESHO DHIDI YA SIMBA NAMNA ALIVYOKUWA AKIKABA UWANJANI KWENYE MAZOEZI YA YANGA HUKO UNINIO NJE YA JIJI LA DAR.
TATIZO MOJA TU, SEHEMU ALIPOUMIA JICHO NA KUSHONWA NYUZI TATU.
UKIACHANA NA HIVYO, CANNAVARO ALIONEKANA YUKO FITI SANA.
0 COMMENTS:
Post a Comment