Kupitia mtandao kipa Hussein Shariff amewatakia kila la kheri wachezaji wenzake katika mechi ya kesho dhidi ya Yanga.
Kipa huyo maarufu kama Casillas, aliumia akiwa kambini na Simba nchini Afrika Kusini.
Ivo Mapunda anatarajia kurejea langoni hiyo kesho lakini Casillas akiwa na magongo yake anayoyatumia kwa ajili ya kutembea alionekana ni mwenye furaha.
0 COMMENTS:
Post a Comment