October 29, 2014


Beki mkongwe wa QPR, Rio Ferdinand amesimamishwa kuichezea timu yake mechi tatu.

Kama haitoshi Shirikisho la Soka England limempiga faini ya pauni 25,000.

Rio ameingia kwenye mgogoro huo baada ya kumkashifu mmoja ya mtu aliyekuwa akijibizana naye kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.
Beki huyo wa zamani wa Man United alimtaka mtu huyo kumteua mama yake ili acheze vizuri.
Ingawa aliandika Septemba Mosi, lakini FA imeamua kuchukua uamuzi huo sasa lakini ikaeleza yuko huru kukata rufaa.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic