Real
Madrid imeshinda kwa mara ya 11 na kufunga mabao 17 za La Liga baada ya leo
kuitungua Granada kwa mabao 4-0.
Katika
ushindi huo wa ugenini, mshambuliaji James Rodriguez ameanza kuonyesha cheche
zake kwa kufunga mabao mawili.
Mabao
mengine ya Madrid yamefungwa na washambuliaji nyota Cristiano Ronaldo na Karim
Benzema.
Ronaldo
ndiye alifunga bao la kwanza baada ya kucheza kwa sekunde 99 tu.













0 COMMENTS:
Post a Comment