Licha ya kuwa na kikosi chenye fowadi kali na ghali,
Barcelona ikiwa nyumbani Camp Nou imekubali kipigo cha bao 1-0.
Bao lililofingwa na mshambuliaji Joaquin Larrivey wa Celta Vigo
limeimaliza Barcelona yenye wakali kama Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar.
Juhudi za angalau kutaka kupata sare zilikuwa kubwa
lakini mwisho Barcelona ikalala nyumbani katika mechi hiyo ya La Liga.









0 COMMENTS:
Post a Comment