November 11, 2014



Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amezidi kung’ara.

Cheki alivyopokea tuzo yake ya mfungaji bora wa La Liga msimu uliopita maarufu kama Pichichi.
Halafu akapokea tuzo nyingine ya mchezaji bora wa La Liga maarufu kwa jina la Di Stefano. Kweli hiki ni kipindi chake.


WASHINDI:
TUZO YA PICHICHI
2009-10 Lionel Messi
2010-11 Cristiano Ronaldo 
2011-12 Lionel Messi
2012-13 Lionel Messi
2013-14 Cristiano Ronaldo 

TUZO YA DI STEFANO:
2009-10 Lionel Messi
2010-11 Lionel Messi
2011-12 Cristiano Ronaldo
2012-13 Cristiano Ronaldo
2013-14 Cristiano Ronaldo  




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic