Imebainika
mshambuliaji Radamel Falcao wa Man United analazimika kuweka barafu kwenye goti lake la
kushoto kila baada ya kuichezea timu hiyo.
Hali
hiyo imezua hofu kuwa licha ya United kumlipa pauni 220,000 kila wiki,
mshambuliaji huyo hayuko fiti kiuhakika.
TAKWIMU:
Mechi:
5
Alizoanza:
3
Alizomaliza:
0
Dakika
alizocheza: 251
Bao:
1
0 COMMENTS:
Post a Comment