MSHAMBULIAJI NYOTA WA BAYERN MUNICH NA UJERUMANI, MARIO GOTSE AKIWA NA MPENZI WAKE WAKATI WA UZINDUZI WA FILAMU YA DIE MANNSCHAFT IKIWA NA MAANA YA TIMU. UZINDUZI HUO ULIFANYIKA MJINI BERLIN JANA NA KUHUDHURIWA NA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA UJERUMANI, MAKOCHA, VIONGOZI NA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA LA KIMATAIFA (FIFA), SEPP BLATTER. |
0 COMMENTS:
Post a Comment